Posted by Williammalecela.com on Wednesday, June 29, 2016
 |
| Le Mutuz Nation akiwa kwenye moja ya Vipindi vyake vipya vya Television "LE MUTUZ TALK SHOW" ambavyo vinatazamiwa kuanza kurushwa hivi karibuni sana na TV Mbali mbali hapa bongo. Akizungumza na this Blog Le Mutuz alisema kwamba anamalizia mazungumzo na TV hizo ambazo alikataa kuzitaja majina kwamba zitaanza kurusha vipindi vyake karibuni sana na kwamba pia kuna TV za Kenya, Uganda na South Africa zimekubali kuingia naye mkataba wa kurusha vipindi vyake ambavyo anashirikiana na Msanii Maarufu Rose Ndauka kwenye kuvitengeza na tayari Le big Show anazo Series kama 20 ya vipindi vilivyotengenezwa tayari. |
0 comments:
Post a Comment