Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 23, 2016
Rais Magufuli amemwambia Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
..''Kaa utulie
kwa raha zako..wewe upo salama usisikilize kelele za nje na moja ya
jukumu langu kama Rais ni kusimamia hilo."
Amefunga mjadala wa Ulimwengu kuhusu Rais msaafu Mh DrJK ashitakiwe juu ya mchakato wa katiba mpya.
0 comments:
Post a Comment