Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 23, 2016
Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Eva Mbigi akimkaribisha Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais (katikati) ili kuongea na Watumishi wa Ofisi hiyo. aliyekaa kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil akiongea na kutolea ufafanuzi kero mbalimbali toka kwa Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Mbarak Abdulwakil alipokua akitoa ufanunuzi wa kero mbalimbali zilizowasilishwa na Wafanyakazi wa Ofisi .
0 comments:
Post a Comment