Wednesday, June 22, 2016

 Mkuu wa mkoa wa Mbeya amewataka wawekezaji na wananchi kujiandaa kutumia BARABARA ya kikusya- Matema Beach kwa ajili ya kukuza biashara na uwekezaji
Amependezwa na mandhari nzuri ya ziwa Nyasa na anaamini kukamilika kwa barabara hiyo kutaongeza biashara na uwekezaji
Kwa mujibu wa mkataba barabara hii itakamilika 31 Julai 2017
  

0 comments:

Post a Comment