Friday, June 10, 2016



Le Mutuz Nation mtu siyeeleweka kuhusu nani hasa ni mbebezz wake juzi aliwashitua tena washabiki wake kwa kupost hizi picha kwenye Instagram yake na kusema "Grace please marry me" akiwa na Msichana mkareeezz mwenye utajiri wa ajabu sana anayeishi huko Goba na post za Le Mutuz zilioneyesha kuwepo huko. Haijafahamika kama ni kweli ni Mbebezz wake mpya au vipi maana majuzi tu Le Mutuz alikuwa kwenye mahaba mazito na Super Model Lamoda wa Sinza.






0 comments:

Post a Comment