Friday, June 10, 2016

Kwa miaka yote Tanzania imemjua kupitia show ya Bongo Star Search akiwa kama Jaji ambayo mara yake ya mwisho ilikua inaonekana kupitia CloudsTV, leo hii Madame Rita anayofuraha kuwaambia Watanzania kwamba anaingia na kwenye utangazaji.

r2
Muonekano wa studio kunakofanyika show ya RPS
Show hiyo mpya ya Rita Paulsen ambayo itaanza kuonekana soon kwenye AzamTVinaitwa Rita Paulsen Show au RPS  na June 12 2016 ndio imetajwa kuwa terehe yenyewe.
r3
Rita Paulsen na crew yake
r5
Studio
r6
Studio
R1
Studio
R7
Wakati studio inajengwa

0 comments:

Post a Comment