Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amezitaka taasisi ya utafiti wa kilimo, mifugo na chuo cha kilimo Uyole kuwekeza katika utafiti na kutoa wataalaam bora wa kilimo na mifugo ili kuendekeza kilimo kwa lengo la kujitosheleza kwa chakula na zaidi kuwa na malighafi ya viwanda
Amesema nchi yeyote isipowekeza katika utafiti nchi hiyo itapata matatizo kwasababu Mbegu bora za mifugo na Mazao zitapatikana kwa utafiti, uongezaji thamani Mazao lazima ifanye utafiti kwenda na wakati na teknolojia ya usindikaji Mazao kuongeza thamani hivyo taasisi za Uyole zima jukumu kubwa za kuleta mapinduzi ya kilimo
Aidha amewataka maafisa kilimo ,vikundi vya wakulima na wafugaji kufika Uyole kujifunza mambo mbalimbali ya kilimo na ufugaji wa kisasa ili kuongeza uzalishaji wa Mazao na m na ufugaji wenye tija












0 comments:
Post a Comment