Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo ametangaza nia ya serikali Mkoa kwa kushirikiana na wizara ya utalii kuvitangaza vivutio vya DARAJA LA MUNGU Na Msporomoko ya KIJUNGU kuwa ni vivutio vizuri vilivyoko wilaya ya Rungwe ambavyo vikitangazwa vinaweza kuliingizia Taifa mapato
DARAJA la mungu ni daraja la ajabu ambalo limejiumba lenyewe na watu wanapiga juu na pia kuna maporomoko ya KIJUNGU ambayo mbali ya kuwa Kihurio maporomoko hayo yanaweza kuzalisha umeme
Kutokana na ziara hii amehaidi kushirikiana na wizara ya utalii kutangaza vivutio hivyo










0 comments:
Post a Comment