Wananchi walijitokeza leo kusikiliza Kero zao na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya wamepongeza utaratibu aliouweka Mkuu wa mkoa wa Mbeya wa kila wiki ya kwanza ya mwisho na wiki ya mwisho wa mwezi siku ya Alhamisi ni siku ya kusikiliza kero za wananchi na pia aliagiza wakuu wa wilaya kusikiliza Kero za wananchi kila wiki siku ya Alhamisi huu ni utaratibu wa aina yake na ukiendelezwa utaondoa manunguniko na kuharakisha utatuzi wa kero
Leo tarehe 9 juni Mkuu wa mkoa akiwa na Katibu tawala wa Mkoa na timu ya watalaam mkoa, wakurugenzi na wakuu wa idara wamesikiliza Kero za wananchi kuanzia saa 2 asub mpaka saa 7 mchana na Kero Nyingi zi mahusiano na mambo ya ardhi











0 comments:
Post a Comment