
STORI: MWANDISHI WETU, WIKIENDA
DAR ES SALAAM: ‘Kwa nini mmemchinja mama yangu?’ Ndiyo maneno yaliyokuwa yakimtoka mara kwa mara mtoto, Allan Kimario (4) kila alipokumbuka tukio la mama’ke, Anethe Msuya (30) kuchinjwa shingoni hadi kufa na watu
wasiojulikana, nyumbani kwake, Kigamboni, Dar.
KUMBUKUMBU FUPIMtoto Allan akiwa amekumbatia picha ya marehemu mama yake, Anethe Msuya.Anethe alichinjwa Mei 26, mwaka huu na watu watano waliovamia nyumbani kwake usiku wakiwa wamefunika nyuso kwa soksi nyeusi.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment