MKE wa straika wa Leicester
City, Jamie Vardy, Rebekah amewajia juu wanaomsakama katika mtandao wa kijamii
wa Twitter kufuatia mumewe kuhusishwa na mpango wa kujiunga na Arsenal.
“Sikilizeni mashabiki wa LCFC,
msinishukie mimi kwa matusi, sihusiki na chochote katika maisha ya soka ya mume
wangu! Sio haki,” aliandika Rebekah.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment