Thursday, June 23, 2016

halle-6
Mwigizaji Halle Berry baada ya kuachana na mume wake October mwaka jana ameanza kuonekana hivi karibuni akiwa na mpenzi wake mpya.

Halle Berry ameonekana na akiwa na jamaa ambaye sio staa huko mjini New York, Halle Berry ana umri wa miaka 49 saivi.
halle-2

halle


0 comments:

Post a Comment