Wednesday, June 22, 2016

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amewashukuru na kuwapongeza Kikundi cha wanakyela( Twipoke) maarufu Kyela diaspora kwa kuchangia madawati 308 yenye thamani ya shilingi 15,200,000
Amewashujuru wananchi wa Kyela kuwa wamezaa watoto wazuri baada ya kusikia Azma ya serikali kuwa ifikapo juni 39 kila mwanafunzi akae katika dawati na kwa kuthamini nyumbani watoto wenu wamejichangisha na kufanikisha madawati 308

"Kwa niiaba yenu nawashukuru sana na kwa mchango wao wilaya ya kyela tatizo la madawati limekwisha"
Anewataka viongozi wa halmashauri ya Kyela kusimamia utengenezaji wa madawati huku akisisitiza ubora na kukarabati madawati kila yanaooharibika ili kusitokee upungufu tena wa madawati katika mkoa wa mbeya
 

0 comments:

Post a Comment