By @wemasepetu - Quick Question..... Is there a book of rules Ya Instagram inayosema kuna vitu tufanye na tusifanye....!? I dont think so... And kitu ambacho nakiona kutoka Instagram, Watu
wanapenda sana fujo fujo, Purukushani, mara huyu na huyu hawaongei, flani kamchukulia flani bwana, yule kafumaniwa... Hicho ndo mnachokiona kina kick..
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment