Posted by Williammalecela.com on Friday, July 29, 2016
RAIA mmoja mkazi wa Sengerema Mkoa wa Mwanza ameokotwa ziwani baada ya kupotea Siku tatu zilizopita kwa jina anaitwa Siras amepatikana katika ziwa Victoria Mwanza Kamanga, Chanzo cha kifo hakija fahamika ila Marehemu amekutwa hana Shati pia amekutwa na Simu na Pesa na viatu..
0 comments:
Post a Comment