Friday, July 29, 2016


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ameishukuru benki YA T.I.B kwa mchango wa milioni kumi( sh 10,000,000) kusaidia utengenezaji wa madawati. Amehaidi Fedha hizo zitagawanywa kwenye halmashauri zote
Amewaomba wadau wengine kuendelea kusaidia na Mipango ni ujenzi wa vyoo, madarasa na nyumba za walimu

0 comments:

Post a Comment