Posted by Williammalecela.com on Wednesday, July 13, 2016
TANZIA: Mtanzania, Samson Charles Bidan (20), aliyekuwa akiishi huko katika jiji la North Plate nchini Marekani, amefariki dunia baada ya kutumbukia mtoni
Alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu akijiandaa na mashindano ya michezo vyuoni (NCAA)
0 comments:
Post a Comment