Wednesday, July 13, 2016



KWA mara ya kwanza toka aanze Mziki,Msanii Diamond Platnumz ameweza kuvunja rekodi ya aina yake  ndani ya masaa 24 tu kwa watu zaidi ya laki tatu kumtazama kwa wakati mmoja.

Staa huyo ambaye anatamba na hivi sasa na traki yake mpya kabisa ya KIDOGO aliyowashirikisha mastaa nguli kutoka Nigeria P Square,ameweka rekodi ya kutazamwa zaidi baada ya kuachia video ya wimbo huo katika mitandao ya kijamiii.

Diamond baada ya kuweka rekodi hiyo hakusita kuwashukuru mashabiiki zake ambao wamemuunga mkono kwa kazi nyingi.

0 comments:

Post a Comment