Friday, July 15, 2016

Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea
kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI, endelea kupata update

KWA MATOKEO: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment