Ni July 13, 2016 ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makondakupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram alilazimika kuandika sentensi kadhaa kuhusu maeneo yasiyo safi na salama.
"Unapofanya biashara katika maeneo machafu kama haya unataka tukutambue kama balozi wa kipindupindu na chanzo cha vifo vya ndg zetu au umejitoa ufahamu kwakujifanya mstarabu wakati siyo"- Paul Makonda
0 comments:
Post a Comment