Friday, July 15, 2016


Msami ni dancer na msanii wa bongofleva pia ambaye ana single mpya inaitwa ‘Mabawa‘ na alikutana na  kuzungumza kuhusu Ex wake Irene Uwoya.Akizungumza alisema.’Kuachana kama kuachana mimi siwezi kuzungumzia sana ila mimi ni uamuzi wangu niliamua kukaa pembeni kwamba sitaki iwe

hivi nataka iwe hivi,siwezi kukumbuka kwamba tulianza lini uhusiano wetu na kuachana lini ila mpaka kesho tunawasiliana tu kama washikaji ila si kama wapenzi-Msami

0 comments:

Post a Comment