WAKATI watu hususani wakazi wa JIJI la DSM wakiwa na sintofahamu juu ya uzushi unoaenezwa kuhusu Mkuu wa Mkoa Paul Mkonda kutoa amri ya kuwakama watu wasio na kazi,RC huyo machachari leo hii ametoa kijembe kipya huko mitandaoni.
Makonda ambaye amekuwa mhanga wa kutukwana na wabaya wake kisisa,leo hii ameawaacha watu kinywa wazi ambapo ameposti ujumbe wenye lengo la kuwazodoa wabaya wake kwa mafumbo kupitia mashairi ya rapa mkongwe Pro JAY.

0 comments:
Post a Comment