Monday, July 25, 2016


WAKATI mashabiki wake wakiendelea kutoaamini juu ya hatua ya kuhama UKAWA na kuhamia CCM,Kada Jackline Wolper leo hii amezidi kuwachefua mahabiki zake ambao wengi ni wa UKAWA baada ya kuendelea kuwaonyesha jinsi alivyianza maisha yake mapya ndani ya CCM.


Wolper ambaye a;litangaza kujiunga na CCM katika mkutano mkuu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM TAIFA ,Leo hii ameendelea kutonesha vidonda vya mashabiki wengi wa ukawa kwa kuzidi kupia picha kadhaa zinazomuonyesha akifurahia maisha ndani ya CCM.

Baadhi ya picha hizo ni pamoja na hizio hapo katika ukurasa wake wa instagram..


A photo posted by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on

0 comments:

Post a Comment