Sunday, July 10, 2016


KATIKA kile kinachoweza kutafsiriwa kama kupinga mawazo na ushauri wa Lowassa kwa vyama vya upinzani juu ya kuacha kuwa vyama vya kiuanaharakati,alioutoa katika semina ya mameya wa Chadema mkoani Arusha,Profesa Kitila Mkumbo ameibuka na yake mapya.

Kupitia Ukurasa wake wa kijamii wa Twitter ,Pro Kitila Mkumbo amesema kuwa vyama vya upinzani ili vikamilike vinafaa viwe vya kiuhanarakati ambapo amedai kuwa bila kuwa hivyo havitakuwa vyama vya upinzani.



0 comments:

Post a Comment