Sasa
ni Mr. & Mrs, mbunge wa kigoma mjini na kiongozi mkuu wa chama cha
ACT Wazalendo Zitto Kabwe amemuoa mpenzi wake aliyemvisha pete ya
uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika
Zanzibar

Siku ambayo Zitto Kabwe alimvisha pete mpenzi wake

wakati wakifunga ndoa leo Zanzibar

Picha hii kwa hisani ya Gazeti la Mwananchi
Siku ambayo Zitto Kabwe alimvisha pete mpenzi wake
wakati wakifunga ndoa leo Zanzibar
Picha hii kwa hisani ya Gazeti la Mwananchi
0 comments:
Post a Comment