Thursday, July 14, 2016


WEKA MBALI NA WATOTO, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Traki ya KIDOGO kuzidi kuchanja mbuga katika Bara la Afrika ambapo hadi kufikia leo hii baadhi ya nchi imekamata nafasi ya kwanza katika top ten ya radio station kubwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond amejikuta akishindwa kusema maneno mengi zaidi ya ASANTE ,hii nikutokana na baadhi ya wasanii wakubwa wa Afrika na vituo vikubwa vya Tv vya Afrika kuupigia SALUTI wimbo huo ambao umetolewa tahadhari ya kuweza kuvunja mbali rekodi ambazo zipo kwa upande wa nyimbo za wasanii wa kiafrika.



0 comments:

Post a Comment