Moja ya stori iliyochukua headline hivi karibuni ni pamoja na tamko la Serikali lililoanzishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kupiga marufuku vitendo vya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja maarufu kama mashoga.mtaalam wa saikolojia Tanzania Chris Mauki ambaye anatusaidia kujua baadhi ya mambo yanayochochea mtu kuingia kwenye tabia hiyo ambayo ni rahisi kuiepuka mapema.
Unaweza kumtazama na kumsikiliza Chris Mauki kwenye hii video hapa chini….
0 comments:
Post a Comment