Ni July 13, 2016 ambapo Staa wa Bongo Fleva, Lina Sanga amefunguka kuhusu Ex wake kufunga ndoa na mwanamke mwingine.
Kupitia alifunguka ya moyoni na kusema…’Mimi nina kitu kimoja nikishageuka nimegeuka na Ex wangu nilimpa baraka zote alinitumia sms akaniambia ninaoa karibu kwenye harusi
kwasababu mimi na yeye tayari tulifunga ukurasa kwahiyo sioni sababu ya mimi kuendelea na yeye au kumfuatilia au kumuombea mabaya kwani ndoa ni kitu kizuri pia ni kitu chenye baraka’ –Lina
0 comments:
Post a Comment