Wednesday, July 13, 2016

Baada ya kufanya collabo na KO wa South Africa, kituo cha Mtv Base kimeripoti collabo nyingine ya mrembo Vanessa Mdee  na hit maker wa mdundo wa My WomanPatoranking, mdundo ambao utatayarishwa na producer Dj Maphorisa, Mtu wangu usisahau kuniachia commentya ujio wa hii collabo hapa chini na wakali hawa wataziona hapa.
hhjh

0 comments:

Post a Comment