Friday, July 29, 2016


Diamond Platnumz mapema leo hii amefanya kile ambacho mastaa wengi huwa hawakifanyi ambapo kupitia ukurasa wake wa kijamii ameweka kitu AMAZING .

Staa huyo anayetamba kwa kibao chake cha KIDOGO leo hii abishukuru vyombo vya habari kwa kuonyesha kumsapoti kwa namna moja au nyingine kwa kuweza kuucheza wimbo wake mpya wa KIDOGO. 

0 comments:

Post a Comment