Friday, July 29, 2016


RIDHIWANI Kikwete pampja na kufahamika kama Mbunge wa Chalinze lakini pia amejaaliwa kipawa kingine aambacho leo kimewafanya watu wengi huko mitandaoni kumjadili na wengine kushangazwa naye.

Kupitia ukurasa wake wa kijamii,Ridhiwani leo hii ameweka picha ambayo inawaita mashabiki zake inbox huku akionekana mtu akiwa ndani ya boksi

0 comments:

Post a Comment