Monday, July 18, 2016


Mtangazaji Nguli wa EFM,Maulid Kitenge ameweka wazi sababu ya yeye kumtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete nyumbani kwake Msoga.

Kupitia  ukurasa wake wa instgram,Kitenge amesema kuwa ameenda kumjulia hali Mhe Kikwete ,ambaye inafahamika wazi kuwa ni Rafiki yake mkubwa.
A photo posted by Maulid Kitenge (@kitengemaulid) on

0 comments:

Post a Comment