Wednesday, July 27, 2016


WAKATI 'KIDOGO' inapozidi kuvuma na kushika kasi duniani hadi kufikia hatua ya kuzifunika nyimbo za mastaa wengi wakubwa,Diamond leo hii amewaacha kinywa wazi mashabiki zake baada ya kupost picha akiwa na pozi TATA.

Diamond ambaye amepost picha hiyo akiwa katika onyesho la Coke Studio amejikuta akiingia matatani kutoka kwa mashabiki zake ambao wameikomenti picha hiyo katika mitazamo tofauti.

A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

0 comments:

Post a Comment