Wednesday, July 27, 2016


MTANGAZAJI nguli wa michezo BONGO ,Maulid Kitenge  kama ilivyokawaida yake ,leo hii amedhihirisha kuwa si wa kawaida ambapo ameuonyesha umma wa Mashabiki jeuri ya pesa.

Mtangazaji huyo wa michezo,leo hii amewashirikisha mashabiki zake TBT yake akiwa huku ULAYA ambapo alipiga picha na wazungu.

0 comments:

Post a Comment