KWA mara ya kwanza toka apishwe na kuwa MKUU wa Wilaya ya Ubongo,Mhe Humphery Polepole leo hii ameanza kazi kwa staili ya kipekee kabisa.
Polepole ambaye kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya alikuwa ni Mwanaharakati mahiri ,leo hii ameamua kutoa namba zake za simu kwa wakazi wa wilaya hiyo,ambapo amewataka kuwasiliana naye kwa wakati wowote ule katika kila kero inayowasibu.
Tangazo Muhimu kwa Wakaazi wa Wilaya ya UBUNGO. Mjulishe Mwana Ubungo unayemjua.— Humphrey Polepole (@hpolepole) July 25, 2016
Ndimi Mtumishi na Kiongozi wenu pic.twitter.com/dvFYvOWnRe

0 comments:
Post a Comment