Monday, July 25, 2016



IKIWA zimepita siku mbili toka astaafu rasmi Uongozi wa kisiasa nchini,na kuamua kurudi kijijini Kwake Msoga,Rais Mstaafu Dr Jk leo hii amemfanya Mwanae mkubwa Ridhiwani Kikwete kuibuka na mapya mitandaoni kuhusu baba yake huyo.

Ridhiwani ambaye ni Mbunge wa Chalinze kupitia ukurasa wake wa instagram leo hii amefunguka na kusema kuwa atamkumbuka baba yake huyo kwa naman alivyoitumikia nchi.



A photo posted by Ridhiwani Kikwete (@ridhiwani_kikwete) on

0 comments:

Post a Comment