Tuesday, July 19, 2016


Kupiti ukurasa wake wa kijamii,msanii msomi wa Bongo Fleva,Nikki wa Pili leo hii ameamua kuichana LIVE serikali ya Rais Magufuli.

Nikki ambaye ni Member wa kundi la weusi amesema kuwa anasangazwa na Tanzania kuwa na masomo ya juu ya sanaa hali hakuna masomo ya elimu ya shule ya msingi wa sekondari ya somo la sanaa
Nakumbuka zile takwimu za basata zinazo sema Tanzania inakadiriwa kuwa na wasanii milion 10.......Lakini mbona sanaa siioni katika mitaala ya elimu ya umma chekechea mpaka form 6......lakini kuna chuo cha bagamoyo na mliman kuna kitivo cha sanaa.......sasa hii si ajabu unaanzaje kujifunzia sanaa chuo jamani?..... Waeshimiwa wote mliopigiwa kampeni na wasanii....hembu jiulizeni hivi hawa wasanii katika mfumo wenu wa elimu wao wako wapii......sio tu kusema wasanii wanatutangaza kimataifa......wakati mfumo wenyewe wa elimu wa kitaifa hau itambui sanaa..... Ama kusema wasanii hawana maadili....sanaa tunajifunzia magetoni, mitaani, youtube....huko kote hamna maadili......tungejifunzia darasani huenda kungekuwa na somo la sanaa na maadili.....kama tu unavyo jifunza procurement ethics.....au maadili ya udactari
A photo posted by nikk wa ii (@nikkwapili) on

0 comments:

Post a Comment