Thursday, July 21, 2016


KATIKA hali isiyo ya kawida,Staa Diamond kupitia ukurasa wake wa kijamii leo hii ameweka picha ya binti yake Tiffa huku akiwa ameiambatanishia na ujumbe TATA kuhusu maisha ya baadae ya mtoto wake huyo.

Diamond ambaye anatamba hivi sasa na traki yake ya KIDOGO ameandika ujumbe ambao mashabiki zake wameonyesha kutoridhika nao hasa ikizingatia anayemuandikia ni mtoto wake wa kumzaa

Juu ya ujumbe huo na maoni ya mashabiki zake nimekuwekea hapo chini uone

0 comments:

Post a Comment