Mtangazaji Nguli wa Michezo Nchini Maulidi kitenge,Leo hii kupitia ukurasa wake wa kijamii ameachia post ambayo imeleta maneno mengi sana kwa mashabiki zake.
Kitenge ambaye anasifika kwa kuwa na maswali TATA kwa viongozi wa michezo ,amepost picha inayoonyesha akiwa anatabasamu kiasi cha watu kuhoji sababu ya yeye kufuahi wakati huu ambapo kila mwananchi analia ugumu wa maisha

0 comments:
Post a Comment