Muigizaji nguli wa Bongo Move,Jacob Steven,Maarufu JB leo hii amewaacha watu katika tafakari kubwa juu ya ujumbe aliouandika katika ukurasa wake wa kijamii wa instagram.
JB ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Jerusalem Filim,amewataka mashabiki zake kuwa na furaha daima kwani kuwa na furaha ni jambo zuri

0 comments:
Post a Comment