Katika hali isiyo ya kawaida,Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amejikuta akiwatoa watu mapovu katika mitandao ya kijamii .baada ya kupost picha yake akiwa katika hisia.
Mh Makonda amabye anaonekana kama akiwa anaimba nyimbo kwa hisia ,katika picha hiyo,alijikuta akikabiliwa na lundo la shutuma za watu juu ya tamko lake la kuwabaini wasio na kazi maalumu ndani ya mkoa wa DSM.
Baadhi ya watu walidiriki kumfurumishia maneno ya kashfa Mh Makonda huku wengine wakidai kuwa ni mkurupukaji.

0 comments:
Post a Comment