RAIS Mstaafu wa awamu ya Nne Dr Jakaya Kikwete amewatakia sikukuu njema Watanzania wote wanaosherekea siku ya Idd ,huku akiimiza uwepo wa upendo miongoni mwetu,
Kuitia ukurasa wake wa Twitter Dr Kikwete ameandika haya
Eid Mubarak kwenu nyote. Allah azitakabali funga zetu, na Insha'Allah apokee saumu zetu; tupate kusherehekea pamoja kwa amani na upendo.— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 5, 2016

0 comments:
Post a Comment