Asikwambie mtu bana,mahusiano ya mwana bongo move Unti Ezekiel na dansa wa Diamond, Mosesi Iyobo yanazidi kutakaka kila siku.
Katika kujiweka tofauti na mastaa wengine,watasha hao ambao wamejaliwa kuata mtoto mmoja wa kike,wameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wao kwa kuonekana ni miongoni mwa mastaa waliostarabika katika ya wengi katika industry ya burudani hapa TZ.
Ni hivi,wawili hao kwa pamoja wameweka pozi tamu katika picha ya kuwatakiwa mahabiki zao siku njema ya Idd Mubaraka,,kama uonanvyo hapo chini kupitia ukurasa wao wa Instagram.

0 comments:
Post a Comment