Wednesday, July 6, 2016

Inawezekana umekutana nazo hizi picha zikionyesha ajali ambayo inadaiwa imetokea eneo la Msata, Pwani ikihusisha basi la kampuni ya Ngorika na lingine la Ratco kugongana uso kwa uso.
Bado taarifa kamili hazijapatikana hivyo endelea kuwa karibu namillardayo.com kuzipata.
IMG-20160706-WA0012 IMG-20160706-WA0013 IMG-20160706-WA0014 IMG-20160706-WA0015

CHANZO NA millardayo.com

0 comments:

Post a Comment