Wema na ameyasema haya >>>‘Watu
wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia followers hasa kwenye
mitandao yao kwasababu mtu anaweza akatokea sehemu yoyote na kuanza
kunitukana mimi au kumtukana Naseeb akajipatia followers wa kutosha,
kuna muda mimi nilikuwa naogopa kuimba wimbo wa Diamond unapopigwa
naogopa hata kucheza’
‘Nikisikia
nyimbo za Naseeb siwezi kuimba inanibidi nikaze lakini mwisho wa siku
najikomoa mimi mwenyewe nikikaa kwenye gari nitaimba kama utakuwa
unakumbuka nilivyoimba mara ya kwanza watu wakashangaa wakawa
wanajiuliza maswali mengi sana, kwasasa hatuko kwenye mapenzi lakini
tunasaidiana kazi kuonesha uzalendo’

0 comments:
Post a Comment