Mbunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Kitwanga.Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi
kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Charles Kitwanga leo amekutana na
wanahabari nyumbani kwake Misungwi mkoani Mwanza ambapo amesema amerejea
jimboni kuwatumikia wananchi.
Uteuzi
wa Kitwanga ulitenguliwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli Mei 20 mwaka huu baada ya
kuingia bungeni na kujibu swali linalohusu wizara yake akiwa amelewa na
nafasi yake kuchukuliwa na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu
Nchemba.
0 comments:
Post a Comment