Posted by Williammalecela.com on Monday, July 04, 2016
 |
| Le Mutuz Nation alipowasili nyumbani kwa Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu kwa ajili ya mualiko wa Futari siku ya Jumamosi Jioni Nyumbani kwa Makamu Samia Oyesterbay/Dar live!! |
 |
| Le Mutuz Nation with Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dar Mh. Madabida kwenye futari hiyo nyumbani kwa Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu. |
 |
| Le Mutuz Nation with Dr. Seba Ndege Mkurugenzi Mkuu wa Ndege Insurance na Mmiliki wa Bendi ya Skylight na Justine Ndege mdogo wake Dr. Seba kwa jina maarufu sana hapa mjini kama Jembe Ni Jembe live at the Futari. |
0 comments:
Post a Comment