Wednesday, July 13, 2016

Le Mutuz Nation mfalme wa mitandao Tanzania leo ameibuka na mtoto mwingine mrembo kuliko maelezo na aliandika hivi kwenye Instagram yake "My babe Linah", inasemekana Super Model Linah ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania 2nd runner ni mrembo wake Le Mutuz wa muda mrefu sana ila amehamia South Africa anaishi huko sasa hivi ila amekuja Bongo for vacation tu.

0 comments:

Post a Comment