MCHORA Katuni maarufu TZ,Masoud Kipanya leo hii amefunguka mazito kuhusiana na katuni zake anazochora na kuchapishwa na gazeti la MWANANCHI.
Kipanya au KP amesema kuwa katuni zake ili uweze kuzielewa inakubidi kutumia akili kubwa sana kabla ya kuapata jibu la kina juu ya alichochora
Ukizitafisiri katuni kama makala lazima unimwagie tindikali. Usitumie akili nyingi. @kulwa_joseph1— Masoud Kipanya (@masoudkipanya) July 22, 2016

0 comments:
Post a Comment