SAA Chache baada ya JPM kupitishwa na halamshauri kuu kuwa mgombea uenyekiti wa CCM Taifa,Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameandika waraka mzito mitandaoni.
Zitto kupitia ukurasa wake wa Facebook ameadika ujumbe unaomlenga moja kwa moja Mhe JPM huku akitoa angalizo kwa pande zote ambazo zinategemea knufaika na utawala wa JPM ndani ya chama .

0 comments:
Post a Comment